Mwanzoni Kabisa Wakati Naanza Kufanya Kazi Kwa Wakandarasi Miaka Zaidi ya Mitano iliyopita! Nilikuwaga Nadhani Ili Upate Kazi Haraka Kwa Mkandarasi >> Uwe na Experience na Uwe Unajua Kazi Sana!
.La! Hasha ⚠️ Hiyo Ni Robo Kuelekea Nusu Tu ya Ukweli
.
Zaidi ya Asilimia 84 ya Wakandarasi Tanzania Ni Small Contractors Yaani Hapa Unahusisha Class (IV -VII) Hii Ni Kulingana na Report ya Utafiti Uliyofanywa na Kikwasi & Escalante (2020)
.
Na Changamoto Yao Kubwa Unajua Ni Nini.? 😁
.
Ilinichukua Miaka Mingi Kujua ili Ngoja Nikusanue Hapa!
.
>>> Changamoto Zao Kubwa Ni Kutokuwa Na Kazi, Inadequate Management Skills Kiufupi [Ni Hivi Hawajui Kuendesha Biashara ya Ukandarasi] Na Sababu Nyingine Kama 4 Nyingine za Kuongezea
.
Ujumbe Huu Unajua Una Maana Gani Kwako Wewe Civil Engineer/Technician??
.
Ukiweza Kuwasaidia Hizo Changamoto Zao Watakulipa Tu Vizuri!
.
>>> Ukiongelea Swala la EXPERIENCE Kujua KAZI Kuna Mafundi/Laymans Huko Mtaani Wanajua Kazi Kuliko Wewe na Elimu Yako na Wanakubali Malipo Yoyote Kulingana na Mtavyozungumza Kwaio Ukienda Tu na Game ya Kuwa na Experience na Kujua Kazi Ushapigwa Mbili (2) Hadi Hapo..😁
.
>>> Angalia Game Yako Unaicheza Kwa Angel Ipi.? Kila Mchezo Una Mbinu Zake za Ushindi
.
And Truth Be Told Hata Game Iwe Ngumu Vipi Washindi na Wanaojua Kuucheza Mchezo Lazima Wawepo Ni Kimaanisha Kweli Malipo Kwa Wakandarasi Yana Kupanda na Kushuka Na Mbilinge Mbilinge Nyingine Nyingi Tu ila Ukiwapatia Kwenye Angel Lazima Wakubali Tu Kukulipa Vizuri Hata Kama Iwaje 😁
.
Kuna Kitu Nilizungumza Kwenye Hii Makala Hapa Chini Cha Kwanza Kabisa Sijui Kama Ulinielewa.?
.
.
Mambo Mawili Muhimu Ya Kuzingatia Kabla ya Kusajili Kampuni Yako ya Ujenzi Bofya Hapa Kufahamu..
Mambo Mawili Muhimu Ya Kuzingatia Kabla ya Kusajili Kampuni Yako ya Ujenzi Bofya Hapa Kufahamu..
